MAFUNZO YA GRAPHIC DESIGN

Baada ya Mafunzo haya utakuwa na uwezo wa Kutengeneza :-

  • Kutengeneza Business Cards
  • Kutengeneza Vitambulisho
  • Kuandaa tangazo na Mabango
  • Kutengeneza Logo
  • Kutengeneza Kava la Kitabu
  • Kutengeneza Vitambulisho
  • Kutengeneza Cheti

Program zinazotumika katika mafunzo haya ni:-

Adobe Photoshop
Adobe Photoshop
Microsoft Publisher
Microsoft Publisher
Canva
Canva
Fomu ya Kujiunga na Mafunzo ya Graphic Design

Wanachosema Waliojiunga na Mafunzo haya

Kozi ya adobe Photoshop imenipa ujuzi mkubwa kuhusu image editing kiujumla, kitu ambacho kimenisaidia katika kufanya project zangu Kwa ufanisi.

Mr. Mwinyimvua

Mimi napenda sana ufundishaji wako nimesoma masomo machache, nimeelewa kutengeneza 3D book cover. Be blessed upo clear hata fedha yangu nafeel great nimetoa mahali sahihi.

Mr. Luvanda

Kama ungependa Kujiunga na Mafunzo ya ana kwa ana bonyeza kitufe hapa chini

Scroll to Top