Huduma ya Website Design

Kama umekuwa ukihangaika kwa muda mrefu kumiliki Website basi umefika mahali sahihi. Nitakusaidia kutengeneza tovuti (website) inayoendana na mahitaji yako na yenye uwezo wa kufanikisha malengo yako ya kutengeneza brand mtandaoni.

Kwa nini Biashara Yako Inahitaji Website

 • Utaweza kuwafikia watu wengi zaidi Mtandaoni
 • Utaweza kufanya mauzo kwa njia ya mtandao
 • Utaokoa muda mwingi na kuongeza utendaji bora katika biashara yako
 • Utaongeza wateja na mauzo ya Biashara yako
 • Uwezo wa kukuza biashara yako kwa urahisi
 • Utaokoa gharama nyingi ambazo ungezitumia katika matangazo

Chagua Plan inayoKufaa

Plan A

Tsh 150,000 / Mwaka
 • Free Domain Registration
 • 512 MB Storage
 • Responsive Design
 • Unlimited Business Emails
 • Contact form
 • 24/7 support

Plan C

Tsh 250,000 / Mwaka
 • Free Domain Registration
 • 2GB Storage
 • Responsive Design
 • Unlimited Business Emails
 • Unlimited Contact forms
 • 24/7 Premeum Support

Angalia Website Nilizotengeneza

Jaza Fomu Hii kuweka Oda

Scroll to Top