KUHUSU MWALIMU HEMEDI

Hello!, Naitwa Mwalimu Hemedi. Ninafundisha mafunzo mbalimbali ya ICT na BIASHARA.

Kupitia tovuti hii utaweza kujiunga na kozi mbalimbali za ICT na BIASHARA ninazozitoa kwa njia ya mtandao.

Dhamira yangu ni kukusaidia kuongeza maarifa na ufanisi katika shughuli zako.

Scroll to Top