MAFUNZO YA ANA KWA ANA

Karibu! Nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia kujifunza Website Design na Graphic Design ana kwa ana.

Mafunzo ni kwa ajili ya ambao hawawezi kujiunga na mafunzo kwa njia ya videos.​

MAFUNZO YA ANA KWA ANA YAPO YA AINA MBILI

  • MAFUNZO YA MTU MMOJA

    Mafunzo ya ana kwa ana ya mtu mmoja: Mafunzo haya yanakuwa ya mtu mmoja ambaye ninamfuata popote alipo ndani ya Dar es Salaam. Utajifunza kulingana na muda wako au siku utakayokuwa na muda wa kutosha kufanya hivyo. Nauli na ada vitagharamiwa na anayetaka kujifunza. Kama unahitaji mafunzo haya nitumie Ujumbe WhatsApp 0672999266. Kama unatumia simu bofya kitufe hapa chini kunitumia ujumbe WhatsApp

Mafunzo ya ICT
  • MAFUNZO KWA KIKUNDI, SHULE AU CHUO

    Mafunzo kwa kikundi: Haya ni mafunzo ambayo ninatoa kwa kikundi cha watu ambao wamejiorganize na kuamua kujifunza kozi husika; Website Design au Graphic Design. Mahali na gharama za usafiri zitatolewa na wanaohitaji mafunzo. Mafunzo haya yanatolewa kwa Mikoa yote Tanzania. Pia kama una shule au chuo ambacho unahitaji wanafunzi wako wajifunze ninapatikana kwa muda. Kama unanihitaji kwa ajili ya Mafunzo ya ana kwa ana ya kikundi au shule/Chuo chako Jaza Fomu hapo Chini.

Scroll to Top