MAFUNZO YA WEBSITE DESIGN

Mambo utakayojifunza katika Mafunzo haya ya Website Design

  • Utangulizi wa Website Design
  • Kusajili Domain na Hosting
  • Kumanage Cpanel Account
  • Kutengeneza Professional / Business Emails
  • Kuinstall WordPress na Jinsi ya kuweka Kurasa na posts katika tovuti
  • Kudesign Website na Kufanya mipangilio yote muhimu inayohusika
  • WordPress na Biashara //Mwongozo kwa Website Designers
  • Na mengine mengi yanayohusiana na WordPress

Fomu ya Kujiunga na Mafunzo
Tafadhali Jaza Fomu hii Kwa Uangalifu

Wanachosema Waliojiunga na Mafunzo haya

You made it so simple. It’s been great working with you! I have graduated Certificate in Information Technology but I wasn’t taught to design a professional Website. You’re so helpful.

Mr. Mpogolo

Mwalimu Hemedi upo vizuri, unatufanya tujifunze IT bila ya kuingia darasani.

Mr. Rashidi

Kama ungependa Kujiunga na Mafunzo ya ana kwa ana bonyeza kitufe hapa chini

Scroll to Top